Habari wakuu, Mimi sio mwajiriwa ila ni mtafutaji ambaye ikitokea nkaingia kwenye mfumo basi ntakuwa kwenye daraja la TGS E. Kujua jambo ni vyema sana, mimi nilikuwa mnufaika wa bodi ya mikopo (HESLB). Napenda kujua taasisi husika kama NHIF, NSSF, PSSSF, HESLB na TRA (PAYE) wanakata kwa... More @Wikipedia
Hover over any link to get a description of the article. Please note that search keywords are sometimes hidden within the full article and don't appear in the description or title.